Katika kujenga uwezo wa uendeshaji kituo cha mawasiliano cha Chalinze Telecentre uongozi wa kituo umekuwa ukihudhulia semina mbalimbali ndani na nje ya nchi.Hapa mkurugenzi wa kituo bwana John Panduka alikuwa kwenye semina ya wiki la ICT iliyofanyika tarehe 12 May,2011 Mlimani city Dar.
No comments:
Post a Comment