Katika jimbo la Chalinze pia inapatikana sehemu kubwa ya wafugaji hasa wakabila la wamaasai kutokana na mila na desturi zao wamaasai hula damu ya mbuzi pia ikiwa mbichi.Hapa watoto wakimaasai wakila damu mbichi ya ng'ombe muda mfupi baada ya kumchinja mbuzi.
No comments:
Post a Comment