Shughuli za ujasilimali katika eneo zima la chalinze ndiyo kipaumbele cha jamii hii.Pichani wajasilimali katika secta mbalimbali wakiwa katika mnada mojawapo. Pichani wanabanika Nyama kwa ajili ya kuuzia wadau mnadani. Kwa wafugaji nyama ni chakula.
http://chalinzetelecentre.blogpost.com
No comments:
Post a Comment