Pia kuna ufugaji wa kisasa wa mifugo kama nguruwe,kuku,bata sungura na kanga chini ya usimamizi na wataalamu wa kilimo na mifugo ambao wapo wa kutosha hivyo wanajamii wa wananchi wa eneo la Chalinze wenye mtazamo wa kufuga mnaweza kuwatumia wataalamu hao pia ni pamoja na ufugaji wa ng'ombe,mbuzi na kondoo.Kituo cha Chalinze Telecentre kitakuunganisha na wataalamu hao kwa wanaopenda kendesha ufugaji katika eneo hili.
No comments:
Post a Comment